MCHEZAJI WA ARSENAL AVAMIWA ITALIA
Difenda wa klabu ya Arsenal Pablo Mari anapokea matibabu katika hospitali moja mjini Milan Italia baada ya kuvamiwa na kudungwa kisu hapo jana. Mari pamoja na watu wengine watano walipatikana kwenye uvamini huo walipokuwa kwenye duka la jumla wakinunua bidhaa kabla ya jambazi aliyekuwa amejihami na kisu kufamia duka hilo na kujeruhi wanunuzi. Kutokana na […]
MCHEZAJI WA ARSENAL AVAMIWA ITALIA Read More »


