Kimataifa

MESSI NA RONALDO KUCHEZA KOMBE LA DUNIA KWA MARA YA MWISHO

Mashindano ya kombe la dunia mwaka huu kule QATAR yanatarajiwa kuwa ya mwisho kwa nguli wawili wa soka katika dunia ya sasa ambao ni Messi na Ronaldo ambao kulingana na semi zao za awali huenda wasishiriki mashindano ya kombe la dunia baada ya haya ikizingatiwa kwamba umri utakuwa umekwenda. Ronaldo atakuwa na umri wa 41 […]

MESSI NA RONALDO KUCHEZA KOMBE LA DUNIA KWA MARA YA MWISHO Read More »

SON ATACHEZA KOMBE LA DUNIA – CONTE

Mkufunzi mkuu wa klabu ya Totenhum Hotspurs Antonio Conte amesema anaimani kwamba mchezaji wake Son Hoeng-min atacheza katika mashindano ya kombe la dunia ambako timu yake ya taifa Kosea Kusini inashiriki. Son ambaye ashafanyiwa upasuaji usoni na anazidi kupata matibabu alipata jeraha hilo alipogongana na Chancel Mbemba, kwenye mechi ambayo Spurs walishinda mabao 2-1 dhidi

SON ATACHEZA KOMBE LA DUNIA – CONTE Read More »