KLABU YA MANCHESTER UNITED KUUZWA NA GLAZER
Wamiliki wa klabu ya Manchester United walitangaza rasmi hapo jana kwamba wanalenga kuanza mchakato wa kuiuza klabu hiyo baada ya kuimiliki kwa kipindi cha miaka 17 chini ya familia hiyo ya Glazer. Sambamba na hayo pia walitangaza rasmi kukatisha mkataba wa nyota wa ureno Cristiano Ronaldo kwa maelewano baina ya pande mbili, hii ikimaanisha kwamba […]
KLABU YA MANCHESTER UNITED KUUZWA NA GLAZER Read More »



