Kimataifa

MAJERAHA YA AFCON YA MO SALAH KUTOBIWA LIVERPOOL

Mkufunzi wa klabu ya Liverpool Jergen Klopp amethibitisha kuwa Mohamed Salah atalazimika kurejea katika viunga vya Mersyside huko Liverpool kutibiwa na madaktari wa klabu hiyo baada ya kupata jeraha la misuli kwenye mechi ya afcon ambapo Salah alikuwa anawakilisha misri dhidi ya Ghana. Kulingana na Klopp ni kuwa iwapo Mo Salah atapona kwa wakati basi […]

MAJERAHA YA AFCON YA MO SALAH KUTOBIWA LIVERPOOL Read More »