Kimataifa

MICHAEL EDWARDS KUREJEA LIVERPOOL

Aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa michezo katika klabu ya Liverpool kule Uingereza Michael Edwards amerejea rasmi sasa katika klabu hiyo baada ya kuondoka kwa muda. Vishawishi vya wamiliki wa klabu hiyo vimezaa matunda ya kumrudisha gwiji huyo aliyehusika pakubwa katika kuunda kikosi cha Liverpool katika kipindi cha Jergen Klopp. Alikuwa chanzo cha Liverpool kufanikiwa kuwasajili mastaa […]

MICHAEL EDWARDS KUREJEA LIVERPOOL Read More »