JOTA NA KLOPP WASHINDA TUZO ZA MWEZI
Mkufunzi wa klabu ya Liverpool kule Uingereza ndiye mkufunzi bora wa mwezi January. Hii ni baada ya Liverpool kuwa na kiwango kizuri chini ya uongozi wake mwezi huo wakishinda mechi tatu za ligi mwezi huo kwa kufunga mabaomengi. Diogo Jota ndiye mchezaji bora wa mwezi January mwaka huu. Hii ni baada ya mchezaji huyo wa […]
JOTA NA KLOPP WASHINDA TUZO ZA MWEZI Read More »



