ALIOU CISSE KUACHANA NA SIMBA WA TERANGA
Kocha wa timu ya taifa ya Senegal Aliou Cisse anatarajia kuachana na timu hiyo miaka tisa baada ya kuchukua mikoba ya uongozi wa Simba wa Teranga. Taarifa zasema kwamba tangu Senegal kutolewa katika mashindano ya kombe la Afcon mwaka huu katika hatua ya 16 bora mkufunzi huyo mchezaji wa zamani amekuja na uamuzi huo. Aliou […]
ALIOU CISSE KUACHANA NA SIMBA WA TERANGA Read More »



