DIATTA KUJIPATA TAABANI
Winga wa timu taifa ya Senegal ambao pia ni mabingwa watetezi Krepin Diatta huenda akachukuliwa hatua za kinidhamu baada ya kulishutumu Shirikisho la Soka Afrika kwa kuwa fisadi kufuatia mabingwa hao watetezi kuondolewa kwenye kinyanganyiro cha AFCON kupitia mikwaju ya penalti dhidi ya wenyeji Ivory Coast wiki hii. Diatta ambaye ni mshambuliaji wa timu ya […]
DIATTA KUJIPATA TAABANI Read More »



