EVERTON YAKATWA ALAMA
Klabu ya Everton imepata pigo tena kutoka usimamizi wa ligi kuu nchini Uingereza la kupunguziwa alama mbili. Hii ni baada ya mwezi November klabu hiyo ya Merseyside kupunguziwa alama 10 kabla ya ombi lao kubatilisha uamuzi huo hadi alama 6 Kwa sasa Everton imesalia na alama mbili pekee kuingia katika eneo hatari la kushuka daraja. […]
EVERTON YAKATWA ALAMA Read More »



