KLOPP NA ALONSO WANA MATUMAINI YA EUROPA
Mkufunzi wa klabu ya Bayer Leverkusen Xabi Alonso anatumai timu yake itakuwa na motisha hata zaidi kuwinda kombe lingine baada ya kushinda kihistoria kombe la Bundesliga. Bayer Lverkusen bado inawinda makombe matatu msimu huu na usiku wa leo watakuwa wanachuana na klabu ya West Ham kwenye Ligi ya Europa. Kutokana na mechi ya raundi ya […]
KLOPP NA ALONSO WANA MATUMAINI YA EUROPA Read More »



