FIRAT ANASEMA KIKOSI KIKO TAYARI
Mkufunzi mkuu wa timu ya taifa ya Harambee Stars Engin Firat amesema kwamba kikosi chake kiko imara kwa ajili ya mashindano ya kutafuta tikiti ya kufuzu kwa kombe la dunia mwaka 2026 kipindi hiki cha likizo ya soka kimataifa. Harambe Stars watakuwa wanasafiri wikendi hii kwenda Malawi ambako mechi za nyumbani watachezea kutokana na Kenya […]
FIRAT ANASEMA KIKOSI KIKO TAYARI Read More »



