MASHINDANO YA KESSHA KILIFI YAFANYIKA MALINDI
Mashindano ya shule za upili hatua ya kaunti ya kilifi kwenye muhula huu wa pili yalianza kwa kasi hapo jana siku ya kwanza katika eneo bunge la Malindi. Takriban wanafunzi 1500 waliwasili katika mji wa Malindi na wanashiriki katika mashindano hayo. Mcdonald Mzungu Udzile, ambaye ni katibu wa michezo ya shule za upili za Kilifi […]
MASHINDANO YA KESSHA KILIFI YAFANYIKA MALINDI Read More »



