KWANINI MARAFA BOYS ILILEMEWA ‘RUGBY’ 7S
Kocha mkuu wa timu ya raga ya shule ya upili ya Marafa Erick Atitwa anasema mabadiliko ya mashindano kutoka raga za wachezaji 15 kila upande hadi 7 kila upande ndio jambo ambalo liliifanya timu yake kulemewa katika mashindano hayo muhula huu. Marafa Boys ambao walishinda ubingwa wa mkoa wa pwani muhula uliopita na kushiriki mashindano […]
KWANINI MARAFA BOYS ILILEMEWA ‘RUGBY’ 7S Read More »



