Michezo

UHISPANIA WATINGA FAINALI EURO, ARGENTINA IKIFUZU COPA AMERICA

Timu ya taifa ya Uhispania imejikatia tikiti ya kufuzu kuingia fainali ya mashindano ya Euro usiku wa kuamkia leo baada ya kuipiga ufaransa kichapo cha mabao 2-1. Katika mechi hiyo Lamine Yamal kinda mwenye umri wa miaka 16 anayechezea Barcelona aliingia katika historia ya mashindano hayo kwa kuwa mchezaji mchango zaidi kuwahi kufunga bao kwenye […]

UHISPANIA WATINGA FAINALI EURO, ARGENTINA IKIFUZU COPA AMERICA Read More »

ABABU NAMWAMBA ASHAWISHIWA KUWA NA UWAZI NA OLIMPIKI

Wito umetolewa kwa wizara ya michezo kuweka wazi  orodha ya wachezaji na wadau wote watakao kuwa safarini kuelekea Paris  Ufaransa mwezi huu ambako mashindano ya Olimpiki yatakuwa yanafanyika. Wito huo umetolewa na mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya raga ya Kenya Dennis Ombachi ambaye pia ni mkereketwa wa masuala ya michezo humu nchini.

ABABU NAMWAMBA ASHAWISHIWA KUWA NA UWAZI NA OLIMPIKI Read More »