MICHEZO KESSHA YAPELEKWA MALINDI
Mashindano ya shule za upili muhula huu wa pili katika kaunti ya Kilifi sasa ni rasmi yatafanyika katika eneo bunge la Malindi na wala sio Magarini kama ilivyokuwa kwenye taarifa ya awali. Kulingana na Samuel Mulat ambaye ni katibu wa michezo hiyo eneo bunge la Malindi ni kuwa waandaaji wa mashindano hayo walizingatia vigezo vingi […]
MICHEZO KESSHA YAPELEKWA MALINDI Read More »



