Michezo

ALI MWACHAUNGA ASEMA AMEACHILIA WACHEZAJI MSIMU HUU

Kocha wa klabu ya Young Bulls inayoshiriki katika ligi ya Fkf daraja la kwanza Ali Marumu Mwachaunga anasema jambo ambalo limemfanya kuwa na mwanzo mbovu msimu huu ni kukosa matayarisho ya kutosha kabla msimu kuanza. Anasema amelazimika kuachilia wachezaji wengi ambao anadhani hawangemsaidia na badala yake amefanya usajili wa wachezaji wapya, vijana ambao anasema matumaini

ALI MWACHAUNGA ASEMA AMEACHILIA WACHEZAJI MSIMU HUU Read More »

HISIA ZA BALLON DOR ZAZIDI KUIBUKA – AGUERO NA SEEDORF

Maoni mbalimbali kuhusu tuzo la Ballon Dor yanazidi kuibuka ulaya huku wachezaji nguli wengine ambao walishastaafu wanazidi kuibua hisia zao. Baada ya tuzo ya Ballon Dor kupewa Kiungo wa Man City Rodrigo kuna baadhi ya wachezaji waliostafu wanasema sio sawa kwa Real Madrid kufanya tukio la kususia hafla ya kutoa tuzo hizo. Mshambuliaji wa zamani

HISIA ZA BALLON DOR ZAZIDI KUIBUKA – AGUERO NA SEEDORF Read More »