HUSSEIN AMEIBUA HISIA KUHUSU ‘WIZI’ WA KURA ZA FKF
Mgombea wa urais wa Fkf Hussein Mohamed ameibua hisia kuhusu suala la uwazi kwenye mchakato wa uchaguzi wa urais utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu. Akizungumza katika kaunti ya Kiambu Hussein anasema kuna baadhi ya wagombea wanajaribu kuhitilafiana na sajili ya uchaguzi. Akikutana na baadhi ya wapiga kura ambao ni wawakilishi wa vilabu Hussein anasema ipo […]
HUSSEIN AMEIBUA HISIA KUHUSU ‘WIZI’ WA KURA ZA FKF Read More »



