TOM ALILA AAHIDI LUINUA SOKA LA MASHINANI
Tom Alila ambaye ni mwaniaji wa Urais wa Fkf anasema analenga kuimarisha soka la mashinani iwapo atachaguliwa katika uchaguzi mkuu wa Fkf mwaka huu kwenye kura za urais zitakazofanyika mwezi Disemba Alila amesema ipo haja ya kuimarisha soka la mashinani kwani hilo ndio hujenga soka la kitaifa akitolea mfano Junior starlets ambayo ikishiriki mashindano ya […]
TOM ALILA AAHIDI LUINUA SOKA LA MASHINANI Read More »



