WAKUFUNZI WA KENYA WABADILISHANA TABORA UNITED
Siku chache baada ya kufutwa kwa Fransis Kimani kama kocha mkuu wa klabu inayoshiriki ligi ya Tanzania Bara NBC Tabora United, klabu hiyo sasa imempa kazi Brian Aswani kama kocha wa muda. Aswani ni raia mwengine wa Kenya atakaye iongoza Tabora United kwa muda hadi pale klabu hiyo itakapopata kocha mpya Aswani ambaye amefanya kazi […]
WAKUFUNZI WA KENYA WABADILISHANA TABORA UNITED Read More »



