ALIYEKUWA MCHEZAJI WA HARAMBEE STARS AUZA SAMAKI GIKOMBAA
Mchezaji wa zamani wa kikosi cha Harambee stars mwite Tyron Otieno amebainisha kuwa kuna uozo mkubwa katika shirikisho la soka la Kenya haswa kwenye masuala ya malipo. Kulingana na Tyron kwenye ukanda unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii ni kuwa shirikisho la soka chini ya Nick mwendwa limekuwa likichelewesha malipo ya wachezaji pamoja na kuwashughulikia pindi […]
ALIYEKUWA MCHEZAJI WA HARAMBEE STARS AUZA SAMAKI GIKOMBAA Read More »



