ANTHONY TAILOR NDIO REFA WA MECHI YA ARSENAL DHIDI YA LIVERPOOL JUMAPILI
Ligi kuu nchini Uingereza imetoa taarifa kuwa Anthony Tailor ndiye atakaye kuwa refa wa mechi ya mechi itakayokutanisha Liverpool dhidi ya Arsenal wikendi ijayo. Arsenal ambayo ilipigwa bao 2-0 na Bournemouth katika Dimba la ugenini. Hata hivyo kiungo wa Kati raia wa Uingereza Declan Rice anatarajiwa kukosa mechi hiyo Rice ataikosa mechi hiyo kutokana na […]
ANTHONY TAILOR NDIO REFA WA MECHI YA ARSENAL DHIDI YA LIVERPOOL JUMAPILI Read More »



