TOM LANGO AVUNJA UKIMYA WAKE WA FKF
Aliyekuwa mwenyekiti wa FKF katika eneo bunge la FKF Tom Lango hii leo amevunja kimya chake kuhusu uchaguzi wa matawi uliofanyika wiki jana. Akizungumza kwa njia ya simu Tom amewapongeza wote walioshinda nyadhifa mbalimbali katika tawi hilo akiwashauri kufanya kazi kwa pamoja ili kupeleka mbele soka la kaunti ya Kilifi. Lango vilevile amesema miaka minne […]
TOM LANGO AVUNJA UKIMYA WAKE WA FKF Read More »



