VICTOR WANYAMA APOTEZA MECHI YA MWISHO AKIWA MONTREAL
Victor Mugubi Wanyama nahodha wa zamani wa kikosi cha Harambee Stars ya Kenya alicheza mechi yake ya mwisho na kikosi chake cha sasa cha Montreal kunako mitanange ya major soccer league na kupoteza kwa mabao 3-1 kwenye mechi hiyo ya semi fainali dhidi ya mabingwa watetezi New York City Fc usiku wa kuamkia leo. Wanyama […]
VICTOR WANYAMA APOTEZA MECHI YA MWISHO AKIWA MONTREAL Read More »



