Michezo

Nyota Wa Zamani Wa Harambee Stars Amkingia Kifua Cristiano Ronaldo

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Harambee Stars, Bonface Ambani amemtetea nyota wa klabu ya Manchester United, Cristiano Ronaldo baada ya klabu hiyo kutangaza kuwa hatashiriki mechi yao ya ligi dhidi ya Chelsea. Ambani ambaye aliwahi kuichezea klabu ya Yanga SC ya Tanzania msimu wa kati ya mwaka 2009 na 2010 , alitumia mitandao ya kijamii akisema […]

Nyota Wa Zamani Wa Harambee Stars Amkingia Kifua Cristiano Ronaldo Read More »

SOKA LA MASHINANI LAPATA MAPENZI KUTOKA KWA VIJANA – FKF

Viongozi wa soka la mashinani wanasema kwamba vijana wengi kwa sasa wanazidi kusajili timu zao kucheza ligi za mashinani jambo linalotajwa kuwa michezo hasa wa soka unazidi kupendwa na mashabiki lakini pia vijana. Akizungumza na tama la spoti katribu wa soka la eneo bunge la maghatrini mwote Emmanuel kazungu amesema kuwa kwa sasa kunako ligi

SOKA LA MASHINANI LAPATA MAPENZI KUTOKA KWA VIJANA – FKF Read More »