Michezo

RONALDO KUFANYA KIKAO NA ERICK TEN HAG KABLA KUONDOKA OLD TRAFFORD

Mshindi mara tano wa taji la Ballon D’or Cristiano Ronaldo anatarajiwa kufanya kikao chengine cha mazungumzo magumu na Erik ten Hag, huku taarifa zikisambaa kuwa Manchester United itamruhusu fowadi huyo kuondoka kwenye dirisha la usajili la Januari. Mustakabali wa Ronaldo bado haujulikani baada ya Ten Hag kumtimua mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno kutokana na

RONALDO KUFANYA KIKAO NA ERICK TEN HAG KABLA KUONDOKA OLD TRAFFORD Read More »

ARSENAL YAPIGWA STOPPER NA SOUTHAMPTON ILA YASELELEA KILELENI

Klabu ya Arsenal inayoongozwa na mkufunzi Mikel Arteta iliambulia sare ya bao 1-1 dhidi ya Southampton katika dimba la St Mary’s wakiwa ugenini. Ni mechi ilyoshuhudia goli la dakika za mapema la kiungo Granit Xhaka likisawazishwa na Stuart Armstrong raia wa Scotland katika dakika ya 65. Kwa matokeo hayo Arsenali bado inaselelea kileleni mwa ligi

ARSENAL YAPIGWA STOPPER NA SOUTHAMPTON ILA YASELELEA KILELENI Read More »