Michezo

Odegaard na Mikel Arteta washinda tuzo za mwezi Disemba Uingereza

Martin Odegaard kiungo anayechezea klabu ya Arsenal amewapiku nyota wanane wa ligi kuu nchini uingereza na kushinda tuzo ya mchezaji bora mwezi November na December mwaka jana. Odegaard alishinda kura nyingi za mashabiki na kushinda tuzo hiyo baada ya kufunga mabao 3 na kusaidia ufungaji wa mabao 3 yaliosaidia Arsenal kufanya vyema katika ligi kuu […]

Odegaard na Mikel Arteta washinda tuzo za mwezi Disemba Uingereza Read More »

NERO ANAAMINI MSIMU UJAO YUPO DARAJA LA KWANZA KITAIFA

Mkufunzi wa Furunzi FC Nero Chishenga ameeleza imani kwamba atasajili ushindi wa pili katika ligi ya daraja la pili kitaifa vijana wake watakapokuwa wanashuka dimbani kesho dhidi ya klabu ya kishada katika uwanja wa Alaskan, uwanja uliopo mjini malindi kaunti ya Kilifi. Akizungumza na tama la spoti jioni ya leo katika uwanja wa mazoezi ulioko

NERO ANAAMINI MSIMU UJAO YUPO DARAJA LA KWANZA KITAIFA Read More »