Michezo

MESSI NA MBAPPE WAORODHESHWA KATIKA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA FIFA

Bingwa wa mashindano ya kombe la dunia Lionel Messi pamoja na mwenzake wa Paris SG Kylian Mbappe wamewekwa katika orodha washindani wa tuzo la mchezaji bora wa mwaka 2022 na shirikisho la soka duniani fifa. Messi ambaye ashawahi shinda tuzo hiyo awali, mwaka jana aliisaidia timu yake ya argentina kuwania ubingwa wa kombe la dunia 

MESSI NA MBAPPE WAORODHESHWA KATIKA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA FIFA Read More »

ABABU NAMWAMBA AMUAGIZA MKAGUZI MKUU KUFANYA UCHUNGUZI WA MIRADI

Mkaguzi mkuu wa wizara ya michezo katika serikali kuu Nancy Gathungu amemhakikishia waziri Ababu Namwamba kwamba atatimiza agizo lake ya kufanya uchunguzi kuhusu miradi mbali mbali iliyofeli licha ya hela ndefu kuwekezwa na serikali katika miaka mitano iliyopita. Haya yanajiri baada ya waziri namwamba kutembelea miradi mbali mbali ambayo kulingana na taarifa walizonazo kuliwekzwa hela

ABABU NAMWAMBA AMUAGIZA MKAGUZI MKUU KUFANYA UCHUNGUZI WA MIRADI Read More »