NIMEKUJA NA ‘SUGUNYO’ , WANYONYI ATAKUTANA NAYO JUMAMOSI – MANDONGA
Bondia maarufu kutoka nchini Tanzania Karim Mandonga amehakikishia mashabiki wake kwamba atapata ushindi katika pambano litakalofanyika wikendi ijayo katika ukumbi wa KICC mjini Nairobi. Akizungumza na wanahabari mjini Nairobi Mandonga amesema kwamba anafuraha sana kufika nchini Kenya na kupokelewa na mashabiki wake ambao amewaahidi kuwa atamtandika bondia wa kenya Daniel Wanyonyi kwenye mpambano utakaofanyika siku […]
NIMEKUJA NA ‘SUGUNYO’ , WANYONYI ATAKUTANA NAYO JUMAMOSI – MANDONGA Read More »



