Michezo

GOR MAHIA YAMUOMBA RAILA KUAHIRISHA MKUTANO WAKE WA KAMUKUNJI

Klabu ya Gor Mahia imemwandikia kinara wa muunganno wa Azimio One Kenya Raila Odinga kumuomba kubatilisha ratiba ya mkutano wake katika uwanja wa Kamukunji jijini Nairobi siku ya jumapili wakihoji kwamba mkutano huo utagongana na ratiba ya mashemeji dabi . Gor mahia wanatarajiwa kushuka dimbani dhidi ya mahasimu wao wa jadi AFC leopards jumapili dimbani […]

GOR MAHIA YAMUOMBA RAILA KUAHIRISHA MKUTANO WAKE WA KAMUKUNJI Read More »

SERIKALI YA KILIFI YALENGA KUJENGA KIWANJA CHA KISASA

Serikali ya kaunti ya Kilifi inalenga kujenga kiwanja cha kimataifa kama njia moja ya kuwezesha talanta na michezo mashinani. Naibu gavana wa kaunti hii Florence Chibule akiwa katika mahojiano na mwanahabari wetu hapa Lulu Fm amethibitisha kwamba serikali inayoongozwa na gavana Gideon Maitha Mungaro inalenga kuanza mradi wa ujenzi wa kiwanja cha kisasa kama njia

SERIKALI YA KILIFI YALENGA KUJENGA KIWANJA CHA KISASA Read More »