NIPENI MUDA NIUNDE KIKOSI – ENGIN FIRAT
Mkufunzi mkuu wa kikosi cha timu ya taifa ya Harambee Stars Engin Firat anasema wakenya wanafaa kuwa na subra naye ili atengeneze kikosi ambacho kitakuwa na uwezo wa kuleta ushindanio katika mechi za kimataifa. Mkufunzi huyo wakati akizungumza na vyombo vya habari amesema hataahidi wakenya matokeo mazuri mara moja kwani sasa ako na kazi ya […]
NIPENI MUDA NIUNDE KIKOSI – ENGIN FIRAT Read More »



