HII NDIO SABABU ONANA HAKUCHEZA MECHI YA KWANZA AFCON
Mkufunzi mkuu wa timu ya taifa ya Cameroon Rigobert Song amethibitisha kuwa ilikuwa vigumu kwa Andre Onana kucheza kwenye mechi ya AFCON dhidi ya Guinea jana mechi yao ya kwanza katika mashindano hayo. Ameeleza kipa huyo wa Manchester United aliwasili kambini Ivory Coast kama alichelewa. Yote ikitokana na safari yake ya ndege kuwa na changamoto […]
HII NDIO SABABU ONANA HAKUCHEZA MECHI YA KWANZA AFCON Read More »



