TFF YAMKANA MKUFUNZI WA TIMU YA TAIFA STARS
RAIS wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) Wallace Karia amesema kuwa shirikisho hilo haliungi mkono kauli ya kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Adel Amrouche kwamba Morocco inapanga muda na waamuzi wa michezo yao. Amesema kauli aliyoitoa kocha huyo hivi karibuni kulishutumu Shirikisho la (CAF) na lile la nchini Morocco ni maoni […]
TFF YAMKANA MKUFUNZI WA TIMU YA TAIFA STARS Read More »



