CHANGAMWE LADIES NA BANDARI YOUTH ZANG’AA MBARAKI
Fainali za kombe la Chapa Dimba na Safaricom zilichezwa jana katika kaunti ya Mombasa kwenye uwanja wa KPA Mbaraki na ni mashindano ambayo yalishuhudia Changamwe Ladies wakichukua ubingwa wa fainali hizo kwa upande wa kinadada baada ya kuwalaza Bulls Starlets kutoka kaunti ya Kilifi kichapo cha mabao 3-0. Kwa upande wa wanaume ni kuwa Bandari […]
CHANGAMWE LADIES NA BANDARI YOUTH ZANG’AA MBARAKI Read More »



