Michezo

AFCON | Afrika Kusini Yafuzu Robo Fainali, Yaichapa Morocco 2-0

Timu ya taifa ya Morocco imebanduliwa nje ya michuano ya AFCON kwa kukubali kipigo cha magoli 2-0 walichopokezwa na Afrika kusini katika hatua ya 16 bora ya michuano hiyo inayoendelea Côte d’Ivoire. Goli la fowadi kinda mwenye umri wa miaka 23 Evidence Makgopa ambaye ni sajili wa Orlando Pirates liliwapa Afrika Kusini uongozi wa mechi […]

AFCON | Afrika Kusini Yafuzu Robo Fainali, Yaichapa Morocco 2-0 Read More »

WAKUFUNZI WATATU WAKUBWA WATAJWA KUMRITHI XAVI HERNANDEZ BARCA

Mkufunzi wa sasa wa klabu ya Arsenal Mikel Arteta  ni kati ya wakufunzi ambao wanafuatiliwa kurithi mikoba ya Xavi Hernandez wa klabu ya Barcelona ambaye analenga kujiuzulu mwisho wa msimu huu. Arteta sasa anaungana na mkufunzi Jergen Klopp anayeachana na Liverpool mwisho wa msimu pamoja na Julian Nageslman ambao wanawania nafasi hiyo. Hayo yanajiri taarifa

WAKUFUNZI WATATU WAKUBWA WATAJWA KUMRITHI XAVI HERNANDEZ BARCA Read More »