KOCHA WA IVORY COAST EMERSE FAE AWATAKA TEMBO KUMAKINIKA
Kocha wa muda wa Ivory Coast Emerse Fae anasema timu yake lazima isalie na unyenyekevu baada ya ushindi wao mkubwa kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Senegal katika hatua ya 16 bora. Wenyeji wa michuano hiyo waliwaondoa mabingwa hao watetezi kwa mikwaju ya mafuta 5-4 siku ya Jumatatu kufuatia sare ya 1-1 baada ya muda […]
KOCHA WA IVORY COAST EMERSE FAE AWATAKA TEMBO KUMAKINIKA Read More »



