BOSUSTER YAPANDA DARAJA FKF
Mkufunzi Kenedy Rimba ameeleza kufurahishwa kwake na klabu yake ya Bosuster kupanda daraja mpaka hili ya kaunti ya kilifi baada ya jana kusajili ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Fundisa FC katika fainali ya Mini League ilochezwa huko Magarini. Mkufunzi Rimba anasema ameridhika kwa klabu yake kupata fursa ya kipekee kurudi tena katika ligi ya […]
BOSUSTER YAPANDA DARAJA FKF Read More »



