DILI LA KAVOI LATIBUKA, ATASUBIRI MWISHO WA MSIMU
Dili la uhamisho linalohusisha Rafiki Kavoi mchezaji ambaye kwa sasa ni mali ya Malindi Progressive Academy kuelekea klabu ya Bandari Youth katika kaunti ya Mombasa litalazimika kusubiri hadi mwisho wa msimu pale ambapo mchezaji huyo ataweza kuhama kama mchezaji huyu baada ya jaribio la sasa kugonga mwaka kwa kile kinachotajwa kuwa uongozi wa klabu hiyo […]
DILI LA KAVOI LATIBUKA, ATASUBIRI MWISHO WA MSIMU Read More »



