Michezo

AFCON YAZIDI KURINDIMA, ONANA AKIREJEA OLD TRAFFORD

Mkufunzi wa klabu ya Mancheter United Erik Ten Hag amethibitisha kuwa Andree Onana kipa wa Cameroon atarejea rasmi katika kikosi wiki hii na huenda akawa sehemu ya timu ya the Red Devils kwenye mechi ya ligi kuu nchini uingereza Alhamisi atakapokuwa wanachuana na Wolveshampton. Hii ni baada ya Cameroon kutimuliwa kutoka mashindano ya kombe la […]

AFCON YAZIDI KURINDIMA, ONANA AKIREJEA OLD TRAFFORD Read More »

MALINDI UNITED YAKATAZA WACHEZAJI KUSHIRIKI ”TOURNAMENTS ZA MTAANI”

Mkufunzi wa klabu ya Malindi United klabu inayoshiriki katika ligi ya kitaifa ya daraja la kwanza Elly Katana amepinga kujihusisha kwa wachezaji wake katika mashindano mbalimbali ambayo sio ya ligi ya FKF. Amesema kwamba klabu hiyo inayomilikiwa na mwakilishi wadi wa mji wa Malindi Rashid Odhiambo imeweka sheria za kuzuia wachezaji kujihusisha na mashindano kama

MALINDI UNITED YAKATAZA WACHEZAJI KUSHIRIKI ”TOURNAMENTS ZA MTAANI” Read More »

MALINDI PROGRESSIVE ACADEMY YAJIANDAA KWA DERBY YA KILIFI

Mkufunzi wa klabu ya Malindi Progressive Nero Chishenga anasema ukosefu wa washambulizi katika kikosi chake bado ni tatizo ambalo linampa kichwa kuuma jambo linalomfanya kushindwa kushinda mechi. Nero anasema kwamba kwa mechi za hivi punde ikiwemo ile ya wikendi ilopita dhidi ya Ziwani Youth tatizo hilo lilikuwepo licha ya wachezaji katika idara nyingine kuonyesha kiwango

MALINDI PROGRESSIVE ACADEMY YAJIANDAA KWA DERBY YA KILIFI Read More »