TONNY NGALA

WANAHARAKATI WATISHIA KUWAFIKISHA MAHAKAMANI POLISI WANAOKIUKA HAKI ZA KIBINADAM MOMBASA.

Wanaharakati kaunti ya Mombasa wamenyooshea kidole cha lawama idara ya usalama kaunti hiyo, kwa madai ya kukiuka haki zao za kikatiba. Wakiongozwa na mwenyekiti wao Zedekia Adika, wamelalamikia suala la maafisa wa polisi kutumia nguvu kupita kiasi, hasa kila wakati wanapo wakamata wanaharakati hao. Akizungumza inje ya kituo cha Polisi cha Central kaunti ya Mombasa, […]

WANAHARAKATI WATISHIA KUWAFIKISHA MAHAKAMANI POLISI WANAOKIUKA HAKI ZA KIBINADAM MOMBASA. Read More »

VIJANA KAUNTI YA KILIFI WAONYWA DHIDI YA UTUMIZI MBYA WA MITANDAO.

Mwakilishi wa kike kaunti ya Kilifi, Getrude Mbeyu amewalaumu vijana kwa madai ya kushinikiza serikali kuendeleza visa vya utekaji nyara dhidi ya serikali ya Kitaifa. Akizungumza katika kikao na waandishi wa habari kaunti ya Kilifi, Mbeyu amesema hatua ya vijana kuchapishwa maandishi na picha zinazo ashiria vifo vya viongozi wakuu serikali, ilhali wangali, huathiri pakubwa

VIJANA KAUNTI YA KILIFI WAONYWA DHIDI YA UTUMIZI MBYA WA MITANDAO. Read More »

MARTHA KOOME ALITAKA JOPO LA KUTEUA MAKAMISHNA WA IEBC KUDUMISHA UADILIFU.

Jaji mkuu Martha Koome amelitaka jopo la uteuzi wa makamishna wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC, kuendekeza haki na usawa kwa mujibu wa sheria katika shughuli zao. Kulingana na Koome, tume ya IEBC ni mojawapo ya tume muhimu zaidi katika taifa hili na hivyo kuwaonya wale walioteulewa kwenye jopo hilo, dhidi ya

MARTHA KOOME ALITAKA JOPO LA KUTEUA MAKAMISHNA WA IEBC KUDUMISHA UADILIFU. Read More »