TONNY NGALA

VIONGOZI WA CHAMA CHA WIPER KAUNTI YA MOMBASA WAIKOSOA SERIKALI YA KITAIFA.

Viongozi wa chama cha wiper kaunti ya Mombasa wameunga mkono kuidhinishwa kwa jopo la tume ya IEBC, litakalo endeleza mchakato wa kuwateua makamishna wa tume hiyo. Wanachama hao wametetea suala la chama hicho kuchelewesha uteuzi wa makamishna wa tume ya IEBC, kutokana na hatua ya wao kuwasilisha kesi kuhusiana na uteuzi huo mahakamani. Wakiongozwa na […]

VIONGOZI WA CHAMA CHA WIPER KAUNTI YA MOMBASA WAIKOSOA SERIKALI YA KITAIFA. Read More »

SERIKALI YA KAUNTI YA KWALE YAPINGA AGIZO LA KAUNTI KUTOTOA BASARI.

Hatua ya serikali za kaunti kutoa ufadhili wa karo kwa wanafunzi ni njia mojawapo ya kuwasaidia wazazi, kufanikisha majukumu yao ya kuwasomesha wanao. Haya ni kwa mujibu wa mwanasheria mkuu kaunti ya Kwale, Salim Gombeni ambaye ametetea mpango wa serikali za kaunti kutoa ufadhili wa basari kwa wanafunzi, akisema kuwa mpango huo haupaswi kusitishwa. Akizungumza

SERIKALI YA KAUNTI YA KWALE YAPINGA AGIZO LA KAUNTI KUTOTOA BASARI. Read More »

KUNA HAJA YA VIJANA NCHINI KUELIMISHWA KUHUSIANA NA BIASHARA.

Kuna haja ya vijana kupewa hamasa kuhusiana na mbinu mbali mbali za kujiendeleza kibiashara, kupitia miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali ya kitaifa katika maeneo yao. Haya ni kwa mujibu wa shirika la kibiashara la 20x, ambalo limeelezea kuwepo miradi mingi ambayo inaweza kuimarisha shughuli za kibiashara katika jamii. Akizungumza katika kaunti ya Kwale, kwenye

KUNA HAJA YA VIJANA NCHINI KUELIMISHWA KUHUSIANA NA BIASHARA. Read More »