TONNY NGALA

RAIS MSTAAFU UHURU KENYATTA AYATAKA MATAIFA YA AFRIKA KUBUNI MBINU ZA KUJIWEZESHA KIUCHUMI.

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, amewaonya viongozi wa bara Afrika dhidi ya kulalamimikia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump kubadili sheria nchini humo, ambazo zitakuwa na athari kwa mataifa ya bara Afrika. Kwa mujibu wa Uhuru, licha ya mataifa ya Afrika kuwa na rasilimali nyingi zilizo na uwezo wa kufadhili mataifa hayo kiuchumi, masuala ya […]

RAIS MSTAAFU UHURU KENYATTA AYATAKA MATAIFA YA AFRIKA KUBUNI MBINU ZA KUJIWEZESHA KIUCHUMI. Read More »

HALI NGUMU ZA KIUCHUMI ZA SABABISHA WANANCHI ENEO LA MALINDI KAUNTI YA KILIFI KUTOSAJIIWA KUPATA VITAMBULISHO VYA KITAIFA

Idadi kubwa ya wakaazi wa eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi wameendelea kukabiliwa na changamoto kuu, katika kupata vitambulisho kutokana na hatua ya wao, kutakiwa kulipia stakabadhi hizo muhimu. Akithibitisha hilo afisa anayehusika na sahihi za vidole katika afisi hiyo Ruth Hasango, ametaja suala la wananchi wengi kususia shughuli za kupata huduma hizo, kusababishwa

HALI NGUMU ZA KIUCHUMI ZA SABABISHA WANANCHI ENEO LA MALINDI KAUNTI YA KILIFI KUTOSAJIIWA KUPATA VITAMBULISHO VYA KITAIFA Read More »

IDARA YA USALAMA KAUNTI YA TANA RIVER YATAKIWA KUKABILIANA NA UTUMIZI WA MIHADARATI.

Idara ya usalama katika eneo bunge la Garseni kaunti ya Tana River imetakiwa kuweka sheria ya kudhibiti uuzaji na hata unywaji wa pombe kwenye mabaa eneo hilo. Ni wito ambao umetolewa na mwenyekiti wa jamii ya Wardei eneo hilo Dahir Bille, ambaye amesema kuwa hatua ya ongezeko la sehemu za unywaji pombe, ndiyo chanzo cha

IDARA YA USALAMA KAUNTI YA TANA RIVER YATAKIWA KUKABILIANA NA UTUMIZI WA MIHADARATI. Read More »