WAHANDISI WAONYWA DHIDI YA KUPINGA UTEUZI WA AISHA JUMWA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA BARABARA.
Mchanganuzi wa masuala ya kisiasa mjini Malindi kaunti ya Kilifi, Kenza Ondiek ameutaka muungano wa wahandisi nchini, kukoma kupinga uteuzi wa Aisha Jumwa, kuwa mwenyekiti wa bodi ya barabara, kwa madai ya kutokuwa na tajiriba hitajika. Kulingana na Ondiek, uteuzi wa Jumwa ni njia mojawapo ya serikali ya Kenya kwanza, kumpongeza kwa juhudi zake za […]



