IEBC YASEMA IMEKAMILISHA MAANDALIZI YA SHUGHULI ZA CHAGUZI NDOGO NCHINI.
Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC, imeelezea utayari wake katika kufanikisha shughuli za uchaguzi mdogo, wa nafasi mbali mbali za uongozi katika taifa hili. Kwa mujibu wa afisa mkuu wa tume hiyo Marjan Hussein Marajan, wamelazimika kuharakisha mikakati hiyo, ili kuwapatia makamishna wapya watakao chaguliwa wakati rahisi wa kutekeleza zoezi hilo. Katika taarifa […]
IEBC YASEMA IMEKAMILISHA MAANDALIZI YA SHUGHULI ZA CHAGUZI NDOGO NCHINI. Read More »



