TONNY NGALA

SERIKALI YA KENYA KWANZA YAKOSOLEWA KWA KUKOSA UFAHAMU WA WAHUSIKA WA VISA VYA UTEKAJI NYARA.

Mchanganuzi wa masuala ya kisiasa nchini Barrack Muluka, amekashifu vikali hatua ya serikali kudai kutokuwa na ufahamu kuhusiana na anayetekeleza visa vya utekaji nyara katika taifa hili. Kulingana na Barrack, serikali ya Kenya Kwanza imeshindwa kutekeleza wajibu wake kwa wananchi wa taifa hili na hivyo inapaswa kujiuzulu. Akizungumza hapa kaunti ya Kilifi, Barrack amesema kuwa […]

SERIKALI YA KENYA KWANZA YAKOSOLEWA KWA KUKOSA UFAHAMU WA WAHUSIKA WA VISA VYA UTEKAJI NYARA. Read More »

WAZIRI MUTURI AMTAKA RAIS WILLIAM RUTO KUTOA AMRI YA KUSITISHWA KWA VISA VYA UTEKAJI NYARA.

Waziri wa utumishi wa umma Justine Bedan Njoka Muturi, ameendeleza shutuma zake dhidi ya serikali anayotumikia, kwa madai ya kutozungumzia masuala ya utekaji nyara wa vijana katika taifa hili. Kulingana waziri Muturi, serikali ya Kenya Kwanza iliahidi wakenya kusitisha visa vya mauaji ya kiholela na utekaji nyara, wakati wa kampeni za kuwania uchaguzi mkuu wa

WAZIRI MUTURI AMTAKA RAIS WILLIAM RUTO KUTOA AMRI YA KUSITISHWA KWA VISA VYA UTEKAJI NYARA. Read More »

VYUO VIKUU NCHINI VYATAKIWA KUSHIRIKIANA NA MATAIFA YA KIGENI ILI KUBORESHA SHUGHULI ZA MASOMO.

Katibu wa Elimu ya Juu na Utafiti kwenye wizara ya elimu nchini Dkt. Beatrice Inyangala, amekipongeza Chuo Kikuu cha Taita Taveta, kwa ubora wake wa kitaaluma na ushirikiano na mataifa ya kigeni. Kulingana na katibu huyo, kuna haja ya vyuo vikuu nchini kutambua changamoto zake na kushirikisha wizara hiyo, katika kutafuta wafadhili wa kuwasaidia kukabiliana

VYUO VIKUU NCHINI VYATAKIWA KUSHIRIKIANA NA MATAIFA YA KIGENI ILI KUBORESHA SHUGHULI ZA MASOMO. Read More »