TONNY NGALA

RAIS WILLIAM RUTO AAHIDI KUFANIKISHA UWEPO WA MAHAKAMA YA UMOJA WA MATAIFA YA AFRIKA.

Rais William Ruto ameahidi kufanikisha utendakazi wa mahakama ya umoja wa mataifa ya Afrika. Kulingana na Ruto, licha ya kukamilika kwa sheria hitajika za kuunzishwa kwa shughuli za mahakama hiyo mwaka 2019, bado utekelezwaji wake hauja fanikishwa. Ameongeza kuwa hatua hiyo imesababisha mataifa mengi ya Afrika kutopata haki dhidi masuala mbali mbali kwenye nchini hizo. […]

RAIS WILLIAM RUTO AAHIDI KUFANIKISHA UWEPO WA MAHAKAMA YA UMOJA WA MATAIFA YA AFRIKA. Read More »

WANASIASA KAUNTI YA LAMU WAANZISHA MIKAKATI YA KUWANIA NYADHIFA ZA KISIASA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2027.

Viongozi wa jamii asili za kaunti ya Lamu wametoa wito kwa walio na kura kushirikiana na kujitokeza kwa wingi, kwenye uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2027, ili kuchagua viongozi watakao wawakilisha kwenye bunge la kitaifa. Viongozi hao wa jamii za Wabajuni, Waboni na Wamijikenda, wamesema ushirikiano wao ndio utahakikisha masuala yanayowazonga yanatatuliwa. Wakiongozwa na spika wa bunge la kaunti ya Lamu, Azhar

WANASIASA KAUNTI YA LAMU WAANZISHA MIKAKATI YA KUWANIA NYADHIFA ZA KISIASA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2027. Read More »

IDARA YA USALAMA YAHAKIKISHIA WANANCHI WA MALINDI KAUNTI YA KILIFI USALAMA WAO.

Idara ya usalama mjini Malindi kaunti ya Kilifi, imewahakikishia wananchi wa eneo hili usalama wao, kutokana na hatua ya maafisa wa polisi kuendeleza shughuli za kushika doria, katika maeneo mbali mbali ya mji huu wa Kitalii. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, afisa mkuu wa polisi katika kitengo cha AP, Samuel Kariuki, ameelezea kuwepo

IDARA YA USALAMA YAHAKIKISHIA WANANCHI WA MALINDI KAUNTI YA KILIFI USALAMA WAO. Read More »