TONNY NGALA

WAZAZI ENEO LA SABAKI KAUNTI YA KILIFI WASISITIZWA KUPELEKA WANAO SHULENI.

Wazazi katika wadi ya Sabaki eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi wamesisitizwa kuwapeleka wanao shuleni, muhula huu wa kwanza wa mwaka 2025. Naibu chifu wa eneo la Msabaha Anne Ziro, amewataka wazazi wanaokabiliwa na changamoto zinazo changia suala la wao kutowapeleka wanao shuleni, kufahamisha idara ya usalama eneo hilo. Anne amewashauri wazazi walio na […]

WAZAZI ENEO LA SABAKI KAUNTI YA KILIFI WASISITIZWA KUPELEKA WANAO SHULENI. Read More »

SERIKALI YA KAUNTI YA NAIROBI YAAHIDI KUJENGA SOKO ENEO LA SOUTH B.

Serikali ya kaunti ya Nairobi itajenga soko jipya eneo la South B kaunti ya Nairobi, ili kuwaondoa wachuuzi ambao wamekuwa wakifanyia biashara zao kando kando mwa barabara. Ujenzi huo wa soko unatarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi milioni 350. Akihutubia wafanyabiashara katika eneo hilo, mwakilishi wadi hiyo ya South B, Waithera Chege amesema kuwa hatua hiyo

SERIKALI YA KAUNTI YA NAIROBI YAAHIDI KUJENGA SOKO ENEO LA SOUTH B. Read More »