TUME YA EACC YAAHIDI KUWAKABILI KISHERIA WAFISADI KWENYE IDARA YA MAHAKAMA NCHINI.
Tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi nchini EACC, imesema kuwa imeanzisha uchunguzi dhidi ya ufisadi unaodaiwa kuendelezwa na wafanyakazi wa tume ya idara ya mahakama JSC. Kwa mujibu wa EACC, hatua hiyo imetokana na suala la wakenya kulalamikia ongezeko la idadi ya wafanyakazi wa idara hiyo, ambao wamekuwa wakihusika kwenye visa vya ufisadi na […]
TUME YA EACC YAAHIDI KUWAKABILI KISHERIA WAFISADI KWENYE IDARA YA MAHAKAMA NCHINI. Read More »



