TONNY NGALA

POLISI KAUNTI YA MOMBASA WANASA BANGI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 2.1.

Polisi mjini Mombasa wanamzuilia mwanamke mmoja alikamatwa akiwa na dawa za kulevya ambazo ni pamoja na misokoto 909 ya bangi yenye thamani ya takribani million 2.1. Kulingana na kamanda wa polisi eneo bunge la likoni, Georfrey Ruheni mwanamke huyo alikamatwa Katika kivuko cha likoni, akijaribu kuvukisha bangi hiyo kutoka Mombasa mjini akielekea Likoni. Ruhein aidha […]

POLISI KAUNTI YA MOMBASA WANASA BANGI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 2.1. Read More »

WAKENYA WAONYWA DHIDI YA USAMBAZAJI WA TAARIFA GUSHI MITANDAONI.

Taifa la Kenya linakabiliwa na changamoto kuu ya uenezaji wa taarifa za uongo kupitia mitandao ya kijamii. Haya ni kwa mujibu wa msemaji wa serikali Isaac Mwaura ambaye amesema kuwa, asilimia hamsini ya wakenya wamekuwa wakihadaiwa kupitia mitandao jambo ambalo limechangia kuchipuka kwa tofauti kati ya wakenya na serikali inayo waongoza. Akizungumza katika kikao na

WAKENYA WAONYWA DHIDI YA USAMBAZAJI WA TAARIFA GUSHI MITANDAONI. Read More »

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YAELEZEA MIKAKATI YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA UHABA WA MAJI.

Serikali ya kaunti ya Kilifi inaendeleza ujenzi wa tanki lenye uwezo wa kuhifadhi lita milioni tano za maji, katika eneo la Mtepeni na lingine lenye uwezo wa kuhifadhi lita milioni 2.5 kule Rabai. Kulingana na gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Maitha Mung’aro, hatua hiyo ni njia mojawapo ya kusaidia wananchi katika kukabiliana na suala

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YAELEZEA MIKAKATI YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA UHABA WA MAJI. Read More »