TONNY NGALA

KATIBU WA WIZARA YA AFYA MARY MUTHONI AWATA WANAWAKE KUFANYIWA UKAGUZI WA SARATANI YA KIZAZI.

Wito umetolewa kwa wanawake kujitokeza na kufanyiwa uchunguzi dhidi ya Saratani ya Kizazi. Akitoa wito huo, katibu katika wizara ya afya nchini Mary Muthoni, amesema kuwa wasichana walio chini ya umri wa miaka 15, wanapaswa kupewa chanjo ya HPV, iliyo na uwezo wa kuwakinga dhidi ya maradhi ya Saratani ya kizazi. Akizungumza katika kikao na […]

KATIBU WA WIZARA YA AFYA MARY MUTHONI AWATA WANAWAKE KUFANYIWA UKAGUZI WA SARATANI YA KIZAZI. Read More »

WAHUDUMU WA AFYA KAUNTI YA LAMU WATISHIA KUFANYA MAANDAMANO BAADA YA SIKU SABA.

Wahudumu wa afya katika kaunti ya lamu wametoa makataa ya siku saba  kwa serikali ya kaunti ya Lamu, wakiitaka kushughulikia changamoto zote wanazopitia la sivyo watasusia kazi hadi pale matakwa yao yatakapo shughulikiwa. Aidha wamesema kuwa wanapitia changamoto nyingi katika kazi yao, hivyo kuitaka serikali ya Kaunti ya Lamu kuwaskiliza na kutekeleza wajibu wake. Wahudumu

WAHUDUMU WA AFYA KAUNTI YA LAMU WATISHIA KUFANYA MAANDAMANO BAADA YA SIKU SABA. Read More »