TONNY NGALA

SERIKALI YA KITAIFA YAONYWA DHIDI YA KUCHELEWESHA MGAO WA FEDHA KWA SHULE ZA UMMA.

Miungano ya walimu ya KUPPET na KNUT eneo la Pwani, imeitaka serikali ya Kitaifa kuharakisha shughuli za ugavi wa fedha za kufadhili masomo kwa wanufunzi wa taasisi za elimu za serikali. Wakingumza katika kaunti ya Mombasa, kwenye kongamano na walimu, viongozi hao wakiongozwa na katibu mkuu wa KUPPET kaunti ya Mombasa, Lynette Kamadi, pamoja na

SERIKALI YA KITAIFA YAONYWA DHIDI YA KUCHELEWESHA MGAO WA FEDHA KWA SHULE ZA UMMA. Read More »

HOSPITALI ZA KIBINAFASI NCHINI ZA LALAMIKIA MPANGO WA BIMA MPYA SHA.

Muungano wa wamiliki wa hospitali na vituo vya afya vya kibinafsi, vinavyotoa huduma za matibabu kupitia bima ya afya ya SHA, umetilia shaka suala la serikali kuu, kukusanya fedha za kutosha kupitia bima hiyo, kama ilivyoratibiwa wakati bima hiyo ikianzishwa. Kulingana na kiongozi wa muungano huo daktari Brian Lishenga, hatua hiyo imetokana na suala la

HOSPITALI ZA KIBINAFASI NCHINI ZA LALAMIKIA MPANGO WA BIMA MPYA SHA. Read More »